Huenda Hamisa Mobetto na Diamond Platinumz wakarejesha uhusiano wao wa kimapenzi
- Inaonekana Hamisa Mobetto na Diamond Platinumz wametatua tofauti zilizokuwepo kati yao
- Hii ni baada ya mpiga picha maarufu wa Diamond kuonekana akimpiga Hamisa picha kwenye studio yake
- Hamisa alikuwa amemshtaki Diamond kwa kutowajibika kama baba wa mtoto wao
- Hata hivyo,kesi hiyo ilifutiliwa mbali na wawili hao wakaafikiana kutatua mzozo uliokuwepo kati yao nje ya korti
Huenda sosholaiti maarufu wa Tanzania Hamisa Mobetto na baba wa mtoto wake Diamond Platinumz wakarudisha uhusiano wao wa kimapenzi baada ya kutofautiana vikali hapo awali
Habari Nyingine: Tunataka Jubilee kukubali kuwa haikushinda uchaguzi-Raila Odinga

Habari Nyingine: Mbunge Otiendo Amollo afurahisha wengi kwa kujengea wajane nyumba
Hii imedhihiririshwa wazi baada ya Hamisa Mobetto kuonekana akipigwa picha kwenye studio ya Lukamba ambayo inajulikana kutumika na Diamond mara kwa mara.
TUKO.co.ke iliweza kubaini kuwa Diamond na Hamisa sasa wanatumia mpiga picha mmoja katika kupigwa picha wanazo ziweka kote mitandaoni.

Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
Kitendo hicho kimewafanya wafuasi wao kushuku kuwa wawili hao huenda wamesameheana na sasa wamekuwa wapenzi tena.
Kama ilivyoripotiwa awali na TUKO.co.ke, Hamisa alikuwa amemshtaki Diamond kwa kutojitwika majukumu ya uzazi na kutaka korti iamrishe awe akimlipa KSh 250,000 kila mwezi za matunzo ya mtoto.
Habari Nyingine:Bintiye mrembo kitinda mimba wake mwanamziki Gidi Gidi atua Kenya, miaka 3 baada ya kuzaliwa Ufaransa

Hata hivyo,kesi hiyo ilifutiliwa mbali na korti ikawaamru wawili hao kutatua tofauti zao nje ya korti.
Read: ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia4J6g5Fmn66dnpmubrTApqCsmV2ivKOx062mZqaRYrGqrcyopZ1loKGutbXNrqSzZaeWuKK%2BxKOcrKCRYsKpwdKimKenXayusHnWmmSkoZ2Wvaa62aJloaydoQ%3D%3D